Furaha yako ndo furaha ya anko wangu, asante kwa maua aunty, nimeyapenda. Umenifanya kusikiliza muziki mzuri pia
Turudi kwenye maua, mbona umeyachanganyachanganya utasema 'kolija' (nguo zinazotokana na vitambaa tofautivilivyokatwakatwa- yaani kama a coat of many colors)
Husna huwa anayaweka kimpangilio unakubalika hata na TBS