Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
T huwa anazingua bhanaT kweli shemeji yangu nimeamini mpaka mambo ya halopesa
T huwa anazingua bhanaT kweli shemeji yangu nimeamini mpaka mambo ya halopesa
Hahahaaaa! Nakuona nakuona !Hahaha
Yaani wewe sikuwezi
Karibu tena TMother is always a Teacher! Asante mwalimu wangu wa spelling..
Cc; Faizafoxy
Kweli vile
Nikafanyaje hukoUlivyo mbishi...
Jiandae kwenda dom
Kwa heriHahahaaaa! Nakuona nakuona !
Mama nani alileft hivi mnaongea nini lakiniLeee..
Unakumbuka kipindi kile hadi mama fulani alileft jukwaa ?![]()
MmmmhHivi umbeya wenu huwa mnapeana kwa screenshot?
Mtakamatwa lakini?
T sio wa sport sport..T kweli shemeji yangu nimeamini mpaka mambo ya halopesa

Kweli mnakulana kiukweli ukweli nimeamini aiseeAkijibu niite..
NdioooMmmh
Usiniambie nisamehe bure mshkaji wangu nilikuwa najua hivyo jamaanAm not a Muslim mshikaji wangu,
MhT huwa anazingua bhana
Naona lee kasepaaaaaa!Mama nani alileft hivi mnaongea nini lakini

HahahaOyooooooo!
Mambo ya kujita Khamis Mwakalutete
Afu sauti nyororoooooo
Usijali mshikaji wangu, Mimi ni Roman CatholicUsiniambie nisamehe bure mshkaji wangu nilikuwa najua hivyo jamaan
Unaenda mahali kunichukulia dompo ama?Kwa heri
Nimekuelewa mshkaji wangu kuwa na Amani Baba D ndio mana alikuwa anakusumbua kuhusu mualiko alikuwa anajua we muislamKweli vile