Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
RedbullHahaaa...Baltika /Red blue
Nini sio kinywaji cha dada..
RedbullHahaaa...Baltika /Red blue
Nini sio kinywaji cha dada..
Hivi umbeya wenu huwa mnapeana kwa screenshot?
Mtakamatwa lakini?
tuwaacheee
Leee..


Pole mkuuLeo niko tight wakuu!!
Asante mama mchuchu...MITHALI 16
1.Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Asante Baba kwa kutuamsha salama,tuongoze,tufundishe,tuponye,tubariki mapenzi yako yatimizwe...Amen
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA YA AMANI MBARIKIWE![]()
![]()
HahahaIle messeji ya Hallo Pesa naona imefika![]()
Amina mama DAsante T ubarikiwe
Ndo mimi nshakuwa wa mwisho kujuaUsitake ya kukute sasa!
Wewe muombee tuu akitaka kufanya upuuzi wake akumbuke kuwa upo..
Akumbuke kuwa anapaswa kukuheshimu kama mkewe na mama watoto wake..
Awe na hofu ya Mungu pia..!
Akijua hayo wala hakuna baya atakalofanya.
Ulivyo mbishi...ooh hapo sawa
T kweli shemeji yangu nimeamini mpaka mambo ya halopesaHahaha
Yaani wewe sikuwezi
Mie nishasahauMuulize lee..huoni anacheka![]()
Mother is always a Teacher! Asante mwalimu wangu wa spelling..Redbull
Pole sana MussolinLeo niko tight wakuu!!
Kwani tumewashika?![]()
![]()
![]()
tuwaacheee
Pole kiongoziiiLeo niko tight wakuu!!
Akijibu niite..
Am not a Muslim mshikaji wangu,Yaan kama sio muislam mshkaji wangu unajitoa kabisa