Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] MITHALI 16

1.Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.

[emoji523] Asante Baba kwa kutuamsha salama,tuongoze,tufundishe,tuponye,tubariki mapenzi yako yatimizwe...Amen

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA YA AMANI MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Hahaaa! Shukuru kwanza nimeacha siku hizi..

Muulize shunie kuhusu hicho kikosi hapo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1. Lee empire
2. Transcend
3.Mondray
4.Johnson mgaya
5.mkoroshokigoli
6. Fakalava
7.Nyagei
8. Mkubhi

Wazee wa wapinduzi.. [emoji3][emoji3]

Cc:
Shunie
Clkey
Kilikuwa kinahusu nini kwani
 
Back
Top Bottom