Kuna kikundi tuliungana kwa ajili ya LEGAL ISSUES tukajinyima kwa michango na kuandika PROJECT za kufa mtu ...baada ya kukamilisha si jamaa wakaingia mitini kimyakimya na kufungua kampuni ya watu wa5 na kujiita FOUNDERSUko sawa sana Mumy kwani uaminifu siku hizi umekuwa ni changamoto sana japo nadhani kupitia dhana hiyo basi na watu wakipatikana wa kutosha wanaweza anzisha kitu hata kwa wale watu wanaoishi mkoa mmoja ama mikoa iliyo karibu mfano watu wanaishi Arusha na Mosh kwa pamoja wanaweza anzisha kitu then ikawa ni walikutana kupitia KAPUKU's Forum mpaka wakaweza anzisha ishu inayoonekana....
Mimi nafikiri nitakuwa namba mojaImagine vile wanavyotubania lakini bado tu kwenye top 10 tunashine mbayaaa
Mpaka raha yanii maana sio kwa kuwakimbiza hukuu[emoji2] [emoji2]
Polen sana..Hakika uaminifu umekuwa ZERO kabisa siku hizi ila Bitoz hoja hapa imekuja kwamba kwa wingi wetu hapa na umoja tuliouonyesha kama KUPUKU ni nin tunaweza anzisha ikiwa ni faida ingine kwetu mbali na hii ya kuwa pamoja na kujadili hoja hapa, Wazo lako tafadhali tupo kama Prezdaa CC youngbloodKuna kikundi tuliungana kwa ajili ya LEGAL ISSUES tukajinyima kwa michango na kuandika PROJECT za kufa mtu ...baada ya kukamilisha si jamaa wakaingia mitini kimyakimya na kufungua kampuni ya watu wa5 na kujiita FOUNDERS
Yaani wameiba jasho,pesa na mawazo yetu
Lakini naamini MAFANIKIO HAYAPATIKANI KWA DHULUMA...wakikwama watatukumbuka coz Umoja ni nguvu
Lkn tushawapotezea
Usimuamini mtu issue za pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
....................
Kweli mkuu.Jimena Social media iko na faida kubwa mno ya kwanza ni kukutanisha watu..Hiyo yenyewe tu ni fursa kubwa sasa hapa tumeshakutana na tupo wengi sasa tunatumiaje huu urafiki wetu kama KAPUKU's? Nadhani tunaweza kuja na idea nzur sana ambayo chimbuko itakuwa hapa...
Mkuu huwezi kuepuka hasara, usipoingizwa chaka utapoteza kwa namna moja au nyingine, ck zote wanaoogopa hasara huwa hawapigi hatua zaidi kwani kila biznez ina risk zake. Kati ya watu 100 huwezi kikosa waaminifu 5.Uko sawa sana Mumy kwani uaminifu siku hizi umekuwa ni changamoto sana japo nadhani kupitia dhana hiyo basi na watu wakipatikana wa kutosha wanaweza anzisha kitu hata kwa wale watu wanaoishi mkoa mmoja ama mikoa iliyo karibu mfano watu wanaishi Arusha na Mosh kwa pamoja wanaweza anzisha kitu then ikawa ni walikutana kupitia KAPUKU's Forum mpaka wakaweza anzisha ishu inayoonekana....
Labda chama cha siasa huko ndiko kidogo kuna uaminifu. Kwenye hela[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Polen sana..Hakika uaminifu umekuwa ZERO kabisa siku hizi ila Bitoz hoja hapa imekuja kwamba kwa wingi wetu hapa na umoja tuliouonyesha kama KUPUKU ni nin tunaweza anzisha ikiwa ni faida ingine kwetu mbali na hii ya kuwa pamoja na kujadili hoja hapa, Wazo lako tafadhali tupo kama Prezdaa CC youngblood
Assante presidaaUpo clearly
....................
Very soon utakuwa namba moja mkuu, nafurahi kila nikiiangalia ile list jinsi tulivyojazana..... Raha sanaaaMimi nafikiri nitakuwa namba moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Amenn naona unasita kijimwaga humu karibu bhana kuwa huru, na humu tu watu wa Mungu tupendanao sanaHaha
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kabisa mkuu wangu na hata ikibidi kuwekeana udhamini...Ni poa kabisa..Mkuu huwezi kuepuka hasara, usipoingizwa chaka utapoteza kwa namna moja au nyingine, ck zote wanaoogopa hasara huwa hawapigi hatua zaidi kwani kila biznez ina risk zake. Kati ya watu 100 huwezi kikosa waaminifu 5.
Katika hili la ushirikiano wenye tija lazima pawepo ulinzi wa kisheria kwa kila member.
People chovu km Ngedere Ungabu na Ngariba Faizer watuzidi kwa kitu gani labda wingi wa post tu sioni ubunifu wao wowoteImagine vile wanavyotubania lakini bado tu kwenye top 10 tunashine mbayaaa
Mpaka raha yanii maana sio kwa kuwakimbiza hukuu[emoji2] [emoji2]
Poleni sanaKuna kikundi tuliungana kwa ajili ya LEGAL ISSUES tukajinyima kwa michango na kuandika PROJECT za kufa mtu ...baada ya kukamilisha si jamaa wakaingia mitini kimyakimya na kufungua kampuni ya watu wa5 na kujiita FOUNDERS
Yaani wameiba jasho,pesa na mawazo yetu
Lakini naamini MAFANIKIO HAYAPATIKANI KWA DHULUMA...wakikwama watatukumbuka coz Umoja ni nguvu
Lkn tushawapotezea
Usimuamini mtu issue za pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
....................
Tuzidi kupendana tu.Very soon utakuwa namba moja mkuu, nafurahi kila nikiiangalia ile list jinsi tulivyojazana..... Raha sanaaa
Hakika hilo linawezekana na tutakuwa mfano wa kuigwaJimena Social media iko na faida kubwa mno ya kwanza ni kukutanisha watu..Hiyo yenyewe tu ni fursa kubwa sasa hapa tumeshakutana na tupo wengi sasa tunatumiaje huu urafiki wetu kama KAPUKU's? Nadhani tunaweza kuja na idea nzur sana ambayo chimbuko itakuwa hapa...
Anaogopa wajukuu.Amenn naona unasita kijimwaga humu karibu bhana kuwa huru, na humu tu watu wa Mungu tupendanao sana
HakikaTuzidi kupendana tu.
Hicho ndiyo cha muhimu.
Kweli kabisaHakika hilo linawezekana na tutakuwa mfano wa kuigwa
Sisi wenyewe wanasheria ilikuwa ni mvhakato si unajua mwanzo mgumu?Poleni sana
Nadhani Issue za hela ziwe zinafanywa kwa makubaliano ya kisheria sio kwa kuaminiana hivi hivi tu
Hawana mpya.....People chovu km Ngedere Ungabu na Ngariba Faizer watuzidi kwa kitu gani labda wingi wa post tu sioni ubunifu wao wowote
...............
Hehehehehe dhamana ya buku 10 nayo sio mchezoSisi wenyewe wanasheria ilikuwa ni mvhakato si unajua mwanzo mgumu?
Na changamoto hazikosekana
Now ht kukopesha mru buku 10 tu mpaka aweke dhamana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............