Makapuku Forum

Mimi ni mtu wa kujilipua sana kwa fursa mkuu, najua shida kubwa tz ni uaminifu/kuaminiana lakini najua pamoja na hayo twaweza kufanya kitu ambacho hata hakitazuia chenye faida na hakikuzuii kuendelea na majukumu ya kila siku
Kabisa mkuu namimi pia huwa siogopi kujaribu..Kwa kitu ninacho amin kikienda kama kilivyo napasua huwa naruka nazo...
 
Kilimo
 
Karafuu inakubali kulimwa maeneo gani mkuu??
Cc falcon mombasa
 
Naunga mkono pendekezo hili pia na liweke kwenye list maana wewe ndiyo Katibu kwenye kikao hiki na mwenyekiti ni jambilo .Then utakuja kutuwekea mawazo yote mezan....tuite watu wengi kwa kadiri tuwezavyo waje wachangie tuone nini kitatokea mkuu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…