Makapuku Forum

baby katika ubora wako......gud idea
 
Huyu Moderator kazi inaelekea kumshinda.
Tutajiripua humu ndani kama vipi tufe wote.
Kwanini wanabania likes*?? Nini mantiki yake?
Tumelalamika wakaamua KUDELETE LIKE ZA WAKONGWE zionekane 5 ili kuua ushahidi lkn sehemu zingine wamejisahau
Ushahidi upo wazi ukigonga kuanzia ya 6 zinakubali .....
Kapuku ni kapuku tu hatuthaminiwi
Cheki evidence hapo juu
...............
 
Kwa upande wangu ishu ambayo naiaminia ni kilimo cha KARAFUU.

Mfano mti mmoja wa karafuu unachukua 5yrs then unaanza kuvuna,mti mmoja wa karafuu unaweza kutoa mpaka kilo 200 kutokana na ukubwa wake.

Bei ya kilo moja ya karafuu ni Tsh 15000 hadi 20000 hivyo ukiwa na shamba la miti kama 100 unauhakika wa kupata kama 1500000 au zaidi kwa msimu.
Hii biashara inalipa sana.....
 
Mkuu na usisahau watu wengi wanao na waliofanikiwa huwa ni wale MA-RISK TAKER..
Mimi ni mtu wa kujilipua sana kwa fursa mkuu, najua shida kubwa tz ni uaminifu/kuaminiana lakini najua pamoja na hayo twaweza kufanya kitu ambacho hata hakitazuia chenye faida na hakikuzuii kuendelea na majukumu ya kila siku
 
Nimekuelewa mkuu,.
manuu hebu njoo hapa utoe ufafanuzi kidogo.
Mkuu naamini cha kwanza ni uthubutu tu unaotakiwa katika jambo lolote na kujaribu na ukakosea si dhambi katika maisha..So kwa hilo la SACCOS naweza sema pakipatikana watu amabo ni waamifu na wenye utayari tu inaweza anzishwa na wale wale wanachama ndiyo wata-raise fund na watakuwa wanajikopesha kwa Riba ambayo itakuwa imeamuliwa...Ni kweli kuna changamoto mingi sana za watu kuwa maeneo mbalimbali ila kupitia M-PESA, MITANDAO kama hivi tunakuwa kama tupo pamoja tu...
 
My My Nakuaminia sana ebu tupia idea yako na wewe unajua tupo wengi sana Mumy kiasi kwamba tukisema hata tucheze kibati yaani kila siku jioni tunamrushia mtu mmoja elfu 1 tu..Na wakipatikana watu waaminifu ni mtaji tosha kabisa wakulima matikiti..
Hii imekaa poa kama ukipata watu waaminifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…