Bhinamu kuna kipindi alikuwa anapiga namba ambazo umesave kwa kireno ...ndo nikamwambia aunt yako kuwa hasipokee ..bhas tu ila vizur imerudushwa kwa jitihada kubwaaLol!
Ile haikuwa habari ya kuileta huku bhana anko, wewe unajua kabisa ilivyokuwa mtihani kuipata
Mimi sijawahi kuwa na mpenzi humu
......
Haswaa Mungu akipendaMubasharaa! Kitu jtatu
Utamtesa mtotoNdo utajuaaa
Bado dear!Mwezi bado tu
AiseeShemela me man u damu mjue sivai jezi ya epl zaidi ya man u na hiyo ya chelsea ninaweza vaa sababu ya Baba D na sio lazima vile vile kuvaa
Usiseme hivyo Baba D unaweza kunyimwa kweli kapuku upewe gunia la chawa kazi unipe mimi
Baba D ameniambia simu anayo mama ashura mvaa shanga 700
Mm apaa ???Baba D ameniambia simu anayo mama ashura mvaa shanga 700
Muhimu malengo yetu yametimia
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
Si ushanikaribishaa etii??Haswaa Mungu akipenda
Hata ya accacia badoKupigwa noah bado badoo
Niko hapa friends bar ...njoo unywe bill yakoo lakinUtamtesa mtoto
Bhinamu kuna kipindi alikuwa anapiga namba ambazo umesave kwa kireno ...ndo nikamwambia aunt yako kuwa hasipokee ..bhas tu ila vizur imerudushwa kwa jitihada kubwaa
Sina maana hiyoooAchana na yule jamaa mtata
......
Binamu kwan tumrkubaliana nn ...usinifanyiee hivoHa ahahahaha, lo! Kumbe zigo kalirushia kwangu, lol! Muulize kuhusu chipsi na deni waliloacha kwa ba mloka
Muhimu malengo yetu yametimia
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
Maisha ni kama bahari, inahama, mawimbi, inatulia na mambo mengi mengine, na ndivyo ilivyo safari ya wapendwa, huwa na changamoto nyingi sana na zinahitaji tafakari ya kina sana kuzitatuaSijui ana tatizo gani hawezi ongea public