Makapuku Forum

Tushindane nao kufanya ujinga?...kwa faida ya nani ?
Wasichoelewa ni kwamba hii thread ina watu wazima na heshima zao ndiyo maana hakuna mambo ya ujinga ujinga wala fujo za ajabu
..........
Word..

Wao mbona wanahaha na sisi...

Wao wafanye vile wanataka! Sisi huku ndio home tunaendelea kama kawaida yetu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…