Amen[emoji524] ZABURI 37
5.Mkabidhi Mwenyezi -Mungu maisha yako;mtumainie yeye naye atafanya kitu.
[emoji523] BABA Mwema tunakuja mbele yako mchana huu tukikushukuru kwa yote unayotenda,asante kwasababu unatupenda tunaomba endelea kutuimarisha tuendelee kukutumainia wewe tu maana utafanya kitu,utatuponya,utatupa riziki,utatupa upendo,utatupa ajira na mahitaji yetu sawa na mapenzi yako.asante kwa sababu ya mahali hapa MAKAPUKU pamekua sehemu yetu njema na tunajifunza na kushirikiana kwa upendo endelea kutusimamia mfalme wa amani maana utatupa kushinda.
Waangalie kwa wema wanaopitia changamoto mbalimbali wape matumaini na ufumbuzi wa kila jambo.
Tunomba yote katika jina la Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE SANA[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Njema dada Niko safari nikirudi tutaungana tenaSalama kaka hbr ya uzima
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]Nzuri kabisa
Salama kbsa luvNzuri kabisa my love
Vp upande wako
Karibu na safari njemaNjema dada Niko safari nikirudi tutaungana tena
Ni kweli, mimi nina ushahidi wa wahanga, baada ya kurudi shule walifanya vizuri zaidi, kuna mmoja sasa anachukua PhD Australia, lakini asingeendelea na shule ndio ingekuwa mwisho wa maisha yakeYaani inaumiza ,hayo tunaambiwa walala hoi watoto wao yakiwakuta wanawapeleka ulaya,india,malasia,kenya,uganda ...nk wanasoma vizuri....wengine mimba wanapewa na haohao wakubwa na hata hawashitakiwi...nikisema hv nimeona na kusikia mengi..Mungu atusaidie tu kuwasimamia watoto na vizazi vyetu ndio zawadi pekee Mungu aliyotupa hatuna utajiri mngine,tuwaleee katika maadili ikitokea tuwasaidie tu wasonge mbele[emoji120]
Nzuri shemeji, nawe piaHabar zenu makapuku wenzangu niwatakie weekend njema
Nungwi zanzibarDID YOU KNOW ?
Thanks bitozEnd
......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo # siyo ya "mpigaji" ?
....
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Wakuu niwatakie weekend njema nimepita niwasalimie maana nimewamis sana tuonane wiki ijayo
Much respect BitozEnd
......
Sio, ingekuwa ya mpigaji nisingeiweka hapa kabisaHiyo # siyo ya "mpigaji" ?
....
Nakuona ankali unavyofanya uchochezi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipo ankali, bitoz kanichekesha tuNakuona ankali unavyofanya uchochezi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sasa inatuhusu nini?
Au u nafikiri tupo hapa Jf kushindana kufanya/kupost ujinga ?
Fikisheni hata reply bilioni 1 na kila mtu apewe like 100000000000000000 ni juu yenu maana hakuna anayewawekea bando
Nashangaa mnahangaika na sisi wakati sisi hatujishughulishi wala kushindana na mtu bali tunajishughulisha na shughuli zetu
......
UsirudieeNitaarifa tu nawasilisha
Thanks madengeEnd
......