2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.