Makapuku Forum

1947 - Kenneth Arnold anakuwa mtu wa kwanza kutangaza kuwa ameona vitu vipaavyo visivyojulikana maarufu kama UFO ( Unidentified Flying Objects ) huko Washington.
Huyu bwana ni rubani
Alikuwa akiwndesha ndege binafsi wakati anakatiza Mount Rainier akaviona vitu/object hivyo vikikimbia kwa kasi ya Maili 1200 kwa saa
Ilikuwa ni mara ya kwanza ....Habari ikaenea dunia nzima
......
 
1982 - Kevin Nolan anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Bolton, Newcastle na West Ham.

Katika timu zote hizo alizocheza katika Ligi Kuu amekuwa kepteni wa hizo timu huku akiwa na kocha wake Sam Allardyce " Big Sam " katika timu zote hapo juu.

Kwasasa anacheza soka katika madaraja ya chini England.
 
1986 - Lionel Messi anazaliwa.

Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.

Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.

Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…