Makapuku Forum




Hawa wadudu kuwala watamu sana. Wana ladha ya embe mawazo
 
Ni maneno tu ya chit-chat, sio kwamba ndio amemaanisha nafikiri ni hilo tu mkuu shimba ya buyenze aka mzee wa kolomije


Muhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.

Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…