Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Jun 23, 2017 #220,461 Tetramelyz said: Kufichwa ni jau, unaweza kugutuka jua likiwa linatoka kaskazini kwenda kusini Click to expand... Tetra hii jau nina mdogo wangu anapenda sana kuitumia usije ukawa ni wewe sema yeye haishi hapa bongo
Tetramelyz said: Kufichwa ni jau, unaweza kugutuka jua likiwa linatoka kaskazini kwenda kusini Click to expand... Tetra hii jau nina mdogo wangu anapenda sana kuitumia usije ukawa ni wewe sema yeye haishi hapa bongo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Jun 23, 2017 #220,462 Baba D asante kwa story jamaan namuonea huruma huyu kaka masikini alichofanyiwa na huyu mkewe daah ana haki ya kulia mwanamke si muuaji mana sisi wengine hatupo hivyo jamaan kwahiyo nimemtaja mwanamke wake tu
Baba D asante kwa story jamaan namuonea huruma huyu kaka masikini alichofanyiwa na huyu mkewe daah ana haki ya kulia mwanamke si muuaji mana sisi wengine hatupo hivyo jamaan kwahiyo nimemtaja mwanamke wake tu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,415 Jun 23, 2017 #220,463
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Jun 23, 2017 #220,464 Shunie said: Wapendwa katika Bwana mnaendeleaje me namshkuru Mungu mzima sana muwe na mchana mwema Click to expand... Nawe pia mrs. Lee
Shunie said: Wapendwa katika Bwana mnaendeleaje me namshkuru Mungu mzima sana muwe na mchana mwema Click to expand... Nawe pia mrs. Lee
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 23, 2017 #220,465 Shunie said: Kwani sasa hivi umestaafu kaka yangu Click to expand... Sitakaa nistaafu kf
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 23, 2017 #220,466 DID YOU KNOW ?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Jun 23, 2017 #220,467 QUIGLEY said: Sitakaa nistaafu kf Click to expand... Mh kf na nilichokuuliza wapi na wapi kaka
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Jun 23, 2017 #220,468 dingimtoto said: Nawe pia mrs. Lee Click to expand... Ubarikiwe dingimtoto
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 23, 2017 #220,469 QUIGLEY said: Mara nyingi wenye akili nyingi, kwa upande mwingi hufanya vitu vya kipuuzi sana Click to expand... Hata akina Einstein,Da Vinci n.k walikuwa upuuzi na mapungufu kibao tu mfano Da Vinci anadaiwa alijihusisha na ushoga .....
QUIGLEY said: Mara nyingi wenye akili nyingi, kwa upande mwingi hufanya vitu vya kipuuzi sana Click to expand... Hata akina Einstein,Da Vinci n.k walikuwa upuuzi na mapungufu kibao tu mfano Da Vinci anadaiwa alijihusisha na ushoga .....