AYUBU 11
17.Na maisha yako yatakuwa meupe,kuliko adhuhuri;Lijapokuwa ni giza litakuwa kama alfajiri.
18.Nawe utakuwa salama kwasababu kuna matumaini.Naam utatafuta-tafuta kando yako ,na kupumzika katika salama
19.Tena utalala ,wala hapana atakayekutia hofu;Naam wengi watakutafuta uso wako.
MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO MAJUMBANI MWENU NA WAZUNGUKE VITANDA VYENU DAMU YA YESU IWAFUNIKE USIKU MWEMA MBARIKIWE