BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see,Mungu anatisha kwa uumbaji huu tumtafakari sana10/DolphinKwa kiswahili cha TUKI huitwa pomboo
Huyu huishi baharini
Ana meno ambayo huota kama miti namaainisha unaweza kuyakata/vunja na kisha kuyaangalia na kugundua umri wao(wataalamu wa wanyama wanaelewa)
Meno yao ni kama tree rings
.......
na yule anaefanana na mtu jeHuyu ni samaki aitwae nguva
Story kuwa amefanana n'a mtu hizo ni za kutungwa tu
Ila jua y'a Kwamba ni samaki mwenye aibu sana
Nguva mkubwa ana kilo kati y'a 500-1000
Mara nyingi akigundua Maeneo alipo ni Karibu n'a binadamu anahama kabisa kwenda mbali
Na Bongo tunaye Sizonje mikwara mingi lakini Kibiti hapawezi
....
asee.. hii noma!5/Snails
Konokono ndio wanyama wenye idadi kubwa zaidi ya meno duniani
Lakini meno yao hayana makali yoyote yaani kama urembo tu...saisi yao ni kunywea uji sio kuvunja mifupa
Konokono wana idadi ya meno 14,000
Na katika uhai wao huota meno karibia 25,000
.......
Namuonaga mpole5/Snails

Aisee4/Prehistoric Shark
Hawa ni aina ya papa wenye meno makubwa
Wanaishi kwenye kina kirefu cha maji baharini
Kamwe huwa hawamdhuru binadamu
Ukubwa wa meno yao ni zaidi ya nusu futi
......
Sharubu kwenye fizi ,I see kweli viumbe vipo,ashukuriwe Mungu9/Whales
Kuna aina nyingi za nyangumi
Kuna nyangumi ambao huota nywele sehemu ambayo hutakiwa kuwepo meno
Nywele hizo huota kama mustache,....hutaniwa kwa kuitwa whale mustache
Huwasaidia qakati wa kula/kunywa
.......
kuna movie niliicheck ilikuwa ni majanga ya hawa samaki nikajua ni movie tu... kumbe hivo viumbe vipo kweli..!!6/Piranha
Ni aina ya samaki anayepatikana huko Brazil kama jina lake linavyofanana na akina Ronaldinho
Ana meno makali yanayofanana na wembe ambayo humwezesha kupambana na maadui zake pamoja na mawindo
Qana uwezo wakumuua/kumchanachana ng'ombe kwa kutumia meno yao ndani ya sekunde kadhaa tu
.........
Hahhahaha utadhani mtu kweli ,mweeeh8Sheepshead
Hawa ni samaki wenye domo la kushangaza
Domo lao lina meno kama ya binadamu yaani yanafanana kabisa
Wanapatikana huko Amerika Kaskazini hususani California
Tofauti yao na sisi ni idadi ya meno tu...vingine vyote mbwembwe
.....
Hapa tunajadili meno tuAisee
Mbona wako na sura mbaya hivyo
Wapoo kweliiikuna movie niliicheck ilikuwa ni majanga ya hawa samaki nikajua ni movie tu... kumbe hivo viumbe vipo kweli..!!
Wanatisha7/Venomous SnakesHawa ni nyoka wenye sumu venom
Meno yao yamechongoka na marefu
Yamechongoka kama sindano na hivyo kuwawezesha kuhifadhi sumu km sindano na kisha kuwadunga/ng'ata mawindo au adui zao
.......
Ako na rangi poaa ila hayo meno Mmmmh8Sheepshead
Hawa ni samaki wenye domo la kushangaza
Domo lao lina meno kama ya binadamu yaani yanafanana kabisa
Wanapatikana huko Amerika Kaskazini hususani California
Tofauti yao na sisi ni idadi ya meno tu...vingine vyote mbwembwe
.....
Meno mengi lakini butu5/Snails
Konokono ndio wanyama wenye idadi kubwa zaidi ya meno duniani
Lakini meno yao hayana makali yoyote yaani kama urembo tu...saisi yao ni kunywea uji sio kuvunja mifupa
Konokono wana idadi ya meno 14,000
Na katika uhai wao huota meno karibia 25,000
.......
Hebu mjadilimo na sura bhanaHapa tunajadili meno tu
.......
Kama vile yamechongwa acha Mungu aitwe Mungu...ndugu zangu wa Nchale naona wanachonga kwa mtindo huu6/Piranha
Ni aina ya samaki anayepatikana huko Brazil kama jina lake linavyofanana na akina Ronaldinho
Ana meno makali yanayofanana na wembe ambayo humwezesha kupambana na maadui zake pamoja na mawindo
Qana uwezo wakumuua/kumchanachana ng'ombe kwa kutumia meno yao ndani ya sekunde kadhaa tu
.........
sizonje mikwara yake inaishia kwenye makontena ya madini, hash tag ...Hii nchi ni Tajiri
ndio nimeng'amua hapa kama wana exist.. na kama ndo wapo dizaini hiyo sio wa kukanao karibuWapoo kweliii