Makapuku Forum

Ha ha ha ha ha ha ha ha ungelimjeruhi wapii wakati ulinywea kama sisimizi mpaka nikatoa kale ka kisu nilikokuwa nimekachonga kwa ajili ya kuibia maembe ila tuliwawezaaa....

Ila bhinamu unakumbuka yule bint wa jiran aliyetoka advanced level shuleni ukajitutumua kumpiga mistariii....weee bhinamuu ukipanga wako umeuanzaa zamani dadekiiiii eti ukaniomba nikuandikie kwa kingereza .....
 


Hili flower matata sana yaani linanifanya nijisikie raha ya ajabu. Asante kwa maua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
unatoa address ukisubiri barua kutoka kwa mtoto sio!
 


Nakumbuka sana anko, ha ahahhahahaha, wewe si nilikuonesha ile barua aliyoniandikia kingereza mwanzo mwisho Mara to love you more na mengine mengi.
Ulipoisoma ukaniambia acha mchecheto kacopy wimbo wa Celine Dion.

Kwa kweli kwa kiinglish kile nilitaka kumuomba anipe talk yangu
 
Ohoooo fumanizi teina

[emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] obe Mimi
C.o mjomba lee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bhinamu mbona unaanza kusahau ule wimbo ulikuwa nakumbuka wa westlife binamu tena ilo gazeti tuliliokotaa nkawa nakusomea ila tulimkomeshaaa mpaka tukamuomba yule big aturembishiee mwandikooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…