Makapuku Forum

mpendwa hii ya Leo Kali kuliko






 
huyu kavunja rekodi
 
Ubarikiwe umeniongezea elimu, ushanipa ratiba ya kupitia huu uzi kila siku.
 

halafu kumbe wewe mdau una mbwembwe na masihara kibao
 
Bhinamuu umenikumbusha mbali aiseeeeeh achana na hiyo ya VIP ...ila jessicar alikuwa kichwa hatariiiiii ...kitoto cheupeee sema unakumbukaa ile siku mmeshinda sijui mlikuwa mnaita kambi ...kitu cha ubwabwa kikapikwa kucheki uku na kule anko yako ata namba 17 siwez kudanganya kuchezaa ...ukajitosa kuniibiaa kitu cha ubwabwa ...achaa hiyoo ile komeshaa siku ya mechi na wale bad boys mlivowafungaa na wewwe ukatia 2 watuuuuu obe obe obe ....japo moja ulioteaa ...mpira kwisha wakakufumaniaa na demu wa beki waoo
 
Asante Bitoz
 
Hiii mama usiongee mengi
 


Ha ahahhahahaha! Yule beki alikuwa noma sana mambo madogo tu akataka kuleta ubabe, usingekuwepo ningemjeruhi sana na yule dada nikaondoka naye kumalizia kumpa address yangu.

Si unajua hatukuwa na simu kwa hiyo kutoa address lazima uanze na
Obe Mimi
C/o Mjomba Lee
S.L.P .....
Nyumbani.

Si kazi rahisi ati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…