Makapuku Forum

Aisee
 
7/Marie Louise Meilleur Alizaliwa Agosti 29 mwaka 1880
Ni bibi wa Ufaransa mwenye asili ya Canada(naona wana wake wanatawala list tu)
Ndiye Mkanada aliyeishi miaka mingi zaidi kuwahi kutokea
Watu hawaachi fursa kuna manukato yanatumia jina lake
Alifariki dunia mwaka 1998 akiwa na miaka 117 na siku kiduchu
.......
 
Ilikuwa Juni 26, hakika hatosahaulika kwa wapenda soka walio wengi.

EDO Kumwembe amempa mwanae jina la Marc Vivien ikiwa ni heshima yake kwa mchezaji huyo.
 
Umemsahau Tore Ande Flo! Halafu kitambaa alikuwa anavaa mbabe mmoja anaiywa Denis Wise.
 
RIP Misao Okawa
 
RIP MarieLouse Meilleur
 
6/Lucy Hannah Alizaliwa July 16 mnamo mwaka 1875
Alikuwa ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika....ikumbukwe chimbuko la Wamarekani weusi ni biashara ya utumwa
Ndiye Mmarekani mzee # 2 kuwahi kuwepo katika nchi hiyo
Amewahi kushikilia rekodi ya mtu Mzee zaidi duniani
Alifariki mwaka 1993 March 21 akiwa na miaka 117 na siku kibao
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…