BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe ,AsanteMdau na mimi nashusha mavitu mapema maana ratiba yangu itanibana baadaye hivyo hakuna tatizo segment zikiingiliana ilimradi tu zinaeleweka
Hivyo nashusha segment zangu mbili zote maana baadaye haitawezekana
........
R.I P Marc Foe kiukweli uliwaachia cameroon pengo lako na kwa heshima yako unakumbukwa daima ...8. Marc Vivien Foe ( Man City #23 )
Baada ya kufariki ghafla uwanjani mwaka 2003 katika michuano ya ulaya, kiungo huyo wa Cameroon aliyekuwa anakipiga Man City kipindi hiko jezi yake ilistaafishwa kwa heshima yake.
Tukopoa karibuMko poa wakuu
Naona kimya sana..
KwemaaaaJamani kwema hapa
ThanksEnd
.....
Daaaaaah moja ya mbegu katika mpira wa miguu ambayo imesaidia sana pale darajaniiij7. Gianfranco Zola ( Chelsea #25 )
Ingawa klabu ya Chelsea haikuwahi kutangaza wala kuthibitisha rasmi, lakini inaonekana kama ni dhahiri shairi, jezi ya Zola namba 25 imestaafishwa.
Ni miaka 14 sasa toka Zola aondoke Chelsea lakini mpaka sasa hakuna mchezaji mwingine aliyewahi kuvaa namba 25 klabuni hapo. Zola ni shujaa Chelsea kabla ya zama za Tajiri Abramovich.
John Terry alichagua kuvaa namba 26 ili kukaa karibu na mkongwe huyo kwenye bus la timu pamoja na dressing room.
Njewe ndagenda umwezi Wa 12Ndagukumbuye iwachu tugenda umusi unde?
Asantee twende kaziiTOP TEN
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Karibuni
........
Duuu kweli mungu Wa ajabu
Ozil tuambie km unatoka ukoo wa Ferrari
No need for DNA
......
Huyu kwao muitee "Pupi" ila ukimuita 'El tractor ' unakuwa sawa bin sawiaa 100%5. Javier Zanetti ( Inter Milan #4 )
Muargentina huyo, ametumia robo tatu ya maisha yake ya soka akiwa na Inter Milan kuanzia mwaka 1995 mpaka mwaka 2014 alipotundika daluga kama nahodha wa kikosi hiko huku akitwaa mataji ya kutosha. kwasasa ni Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo. Alipostaafu Inter Milan wakastaafisha jezi namba 4 kwa heshima yake na mchango mkubwa klabuni hapo.
Asante bwana madengeEnd
.....
Let's go mkuuTOP TEN
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Karibuni
........
Aiseeeeeee6. Johan Cruyff ( Ajax #14 )
Huyu ni mchezaji bora wa muda wote wa Uholanzi na Klabu ya Ajax. Mwaka 2008, Ajax walitangaza kutoitumia tena jezi hiyo kwa heshima ya Mkongwe wao hivyo ilimfanya Thomas Vermalen kuwa mchezaji wa mwisho kuivaa jezi hiyo kabla ya kustaafishwa.
Huyu ndio muasisi wa chuo cha soka cha Barcelona maarufu kama La Masia
Shukurani mkuuTOP TEN
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Karibuni
........
Njewe ndagenda umwezi Wa 12