Makapuku Forum

Ameizing simuoni shida nini au sumbai kabeba
Muulize kwanza kabla ya kumfaham amaizing Mimi nlikuwa namfahamu nikamleta huku kapuku forum.

Ha haa.... Manuuu kuwa na amani mkuu.

Alafu EMMYGUY hivi young blood alishazima taa????
Ni kweli kaka, ndo maana huna nakukubali sana.

No sumbai hawezi ng'oa mtoto mzuri vile niliachana naye asubuhi hii wacha nimchek amaizing upo wapi Mumy...Mtumish vip Patience123 yupo salama?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…