Sema madenge. Nina kisa cha kweli cha kusikitisha na kufundisha kuhusu hawa mademu wa mitandaoni. Nitakisimulia siku moja nikiweza.
Shedede ni mtani wangu sema tu alinichanganya alipoanza ishu za uchawi. Husna ni shemeji for life japo naye kwa sasa anasumbuliwa na binamu (ambaye according to Lee ndiye anastahili kuitwa mzee wa totoz). Hata status ya ushemeji wangu haijulikani tena! Nimeachwa tu nipo nipo...