Makapuku Forum

Brazil uwepo wa Cafu ndo ulimweka benchi Ile mechi Arsenal hawawezi kuisahau maana hadi leo hawajawahi tena kugusa japo nusu fainali ..furaha yao siku hizi ni kushiriki tu
Nakumbuka Jens Lehmann alochezea umeme mwanzoni kabisa ya kipindi cha kwanza hivyo timu kuwa 10 muda mrefu
.....
 
HBD Juliano Belleti
 

Ni mpwa wa Harry Redknapp
Ni kiungo lakini ni noma kwa kupiga ambao haswa kwa mashuti makali
Kwenye kombe la dunia Sauzi 2010 goli lake dhidi ya Ujerumani lilikataliwa na Waingereza walipiga makelele na ikawa mwanzo wa goal line technology
Jamaa kuacha rekodi kibao daraja ni
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…