Makapuku Forum

*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa bado nimekaa hapa seblen[emoji41][emoji41] nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]
 
1978 -Frank Lampard anazaliwa.

Kiungo wa kati wa zamani wa West Ham, Chelsea na timu ya taifa ya England.

Mmoja kati ya viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 15 iliyopita.

Kombinesheni yake na Steven Gerrard kwenye timu ya taifa haikuwahi kuwa na mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…