Makapuku Forum

9/Don Koehler akiwa na pacha wake
Huyu bwana ni Mmarekani aliyezaliwa mwaka 1925
Alikuwa na urefu wa kawaida tu hadi alipofikisha umri wa miaka 10 akaanza kurefuka
Alishikilia rekodi ya dunia kuanzia mwaka 1969 hadi pale alipofariki dunia mwaka 1981 akiwa na umri wa miaka 56 ...alipigwa risasi kwa bahari mbaya
Alikuwa na pacha wake wa kike ambaye Alikuwa na urefu wa kawaida tu wa futi 5 na inchi 9 na hivyo wanashikilia rekodi ya mapacha wenye tofauti kubwa ya urefu kwenye Guinness Book of World Records
Ana urefu wa Futi 8 na inchi 2
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…