Asantee karibuuuTOP TEN
Wadau nilikuwa nacheki mpira now umeisha kwa Wajerumani kuwapiga Australia goli 3:2
hapa Tanzania Hasheem Thabeet ni maarufu kutokana na urefu wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu....Pia kuna jamaa fulani mwaka Alikuwa gumzo baada urefu wake kumzidi kabisa Hashim kiasi cha kushindwa kupatiwa matibabu ya mifupa pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI}
Sasa leo nakuletea watu kumi warefu kuwahi kuishi duniani
NB;
"""""""""""""""""""""""""""""
Futi 1 = Inchi 12
Inchi 1= Sm 2.54
Futi 1 = Sm 30.48
""""""""""""""""""""""""""""""
Karibuni
.............
MmmmhKweliii shemuuu...
MmmmhNimeachana nae muda tuu maeneo ya Upanga hapa..
Yupo MmuAsantee karibuuu
Loooooh[emoji15] [emoji15] [emoji15]Yupo Mmu
Baba D wangu shikamooAsantee karibuuu
Baba D umemeHapatikan ujuee
PamojaShukrani mkuu
Baby acha tu nilipo umeme nisamehe tuNampigia hapatikanii
nani wa kuniteka mie jamaan zaidi ya leeAtakuwa ametekwa
Aaaah! Pole polee honey..Mpaka Nimepata Msisimko
Shemela za jioni miss you more shemela wa mimi apaBaba D umeme
naniiii me ndio nimeingiaYupo Mmu
safi shemela jamaan niliwamiss piaShemela za jioni miss you more shemela wa mimi apa
nimekuja Baba DShem darling. ..
Mdogo wako yuko wapii
Nilivyo kuona tu ndo nikaleta Habarinaniiii me ndio nimeingia
Yaaani DaaaahAaaah! Pole polee honey..
mbona mmu sijafika acha tu nimekuta text za Baba DNilivyo kuona tu ndo nikaleta Habari