Makapuku Forum

Nahisi maisha ndio sababu ya hii yotee..

Huyo dada kama alikuwa analipwa Dollar Elfu 10 kwa mwaka ni sawa na million 22 za Tanzania..

Sasa imekuja balaa amezalishwa na anatakiwa alipwe 25 billion apige kimya ! Sasa anaachaje hela..

Kama akiishi na mtoto hawezi kumlea kwanini ang'ang'anie sasa..?

Thats where someone goes for the favourable knife cut..
 
Mmmmh
Ngumu kumeza but that's life
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…