BH hajawahi kunikubali, yaani namuimbishaga daily kama news. Hajawahi kunielewa sasa sina hakika kama Husna atanielewa, mind you, Husna yuko singoland sasa
nishamjua binamu yangu pale ndio moyo wako ulipo we sababu si haunipendi unaongeaga mavitu yako mbona pale ungekaaa ila sababu ya ujeuri wako na kuniona mm wa nini endelea kulialia tu