umeona binamu hivi naanzaje mimi kukufitini jamaan siwezi mzuia asichukue simu binamu ataweza fikili nina makando kando akitaka me nampa jana kashinda nayo kanipa usikuMaaaaweeeeeee, hakyanani nilijua tu. Wewe unaniteteaga sana sasa nikajiuliza vipi ujue naumwa na umeona BH anataka kuja uanze kunizibia tena. yalikuwa ni mawazo sasa umenifungua, alikuwa ni anko wangu mwenyewe kabisa.
Ndo maana haipiti nusu saa ananiulizia kama mgeni kafika kumbe anajua alichofanya. Nashukuru kwa taarifa aunt yangu, uzidi kubarikiwa uwe na moyo mwema na ila siku nyiingine hakikisha simu yako haichukui bhana, unaona nilitaka kuchuma dhambi bure kwa kukusingizia. Nisamehe kwa kweli
Mtani unapotea sana aiseeNina swaga gani mimi mbali na kujivunia Kolomije kwetu? Mimi hata nitajirike niwe bilionea nitabakia hivi hivi tu. Kama huwa naonekana nina swaga basi mnisamehe na kunivumilia...
umesema weweNaskia binamu yako ndo mtaalamu wa ku-count down shanga's
Noo inabidi ifike pahala tuheshimianee utan mwingine sio ...utan upo ila muktadha uuangaliwendio mautani yenu hayo me ndio mana sitaki kabisa
...anamaanisha wewe ndiye uliyechagiza BH akaacha kuja kuniona pale nilipoumwa jana. Amesahau wewe ni mtuhumiwa namba mbili ambaye tumeshasameheana maana mara zote una nia njema nami na hilo ndo muhimu kwangu
simu alikuwa nayo jana Baba D mke mwee halaf kuna chimbo sijakuona au unasoma kimya kimyaKufitini BH aciende kwa Obe
shemela umesikiaSijasema
Bhinamu kiukweli sijahusika mm simu nimeishikaa saa 4 usiku kulikuwa na sms zinaingiaa sizielewiiiiMaaaaweeeeeee, hakyanani nilijua tu. Wewe unaniteteaga sana sasa nikajiuliza vipi ujue naumwa na umeona BH anataka kuja uanze kunizibia tena. yalikuwa ni mawazo sasa umenifungua, alikuwa ni anko wangu mwenyewe kabisa.
Ndo maana haipiti nusu saa ananiulizia kama mgeni kafika kumbe anajua alichofanya. Nashukuru kwa taarifa aunt yangu, uzidi kubarikiwa uwe na moyo mwema na ila siku nyiingine hakikisha simu yako haichukui bhana, unaona nilitaka kuchuma dhambi bure kwa kukusingizia. Nisamehe kwa kweli
kuhusu mama mchuchu wananisingizia jana simu yangu kutwa nzima alikua nayo Baba D kwahiyo kama kuna vitu vimesemwa ni Baba D ndio kaaandika binamu sio mimi hivi naanzaje binamu yangu ninavyokupenda uwe na furaha
Inamaana husna ni mke wa pili wa binamu yake shunieKufitini BH aciende kwa Obe
Ningumu kiapo kipo kabisa shululuSema ndio kubari yaishe
Baba D ujue hayo makiss ni kila sehemu ya mwilisi nitakuwa mwekundu mimi jamaan
shemela umefurahiii ujue unajua kweli
Yaaaan weee achaame naweza nikaandika kuhusu wewe hata nisimalize nakupenda jamaan Baba D wangu mie
Baba D jamaanBhinamu kiukweli sijahusika mm simu nimeishikaa saa 4 usiku kulikuwa na sms zinaingiaa sizielewiiii
Umenene vyema%%Akipewa nyembu ndo mnitonye. Maua ndo nini? Si ajabu shemeji anacheza na akili zake tu kama alivyokuwa anacheza na akili za Shedede
kweli mke mwee ujue