Makapuku Forum

aiseee kwa nini hivyo sasa binamu inaonyesha we mtaalam wa hizi mambo


Nope, sio mtaalamu wa hizo mambo, yaani nazipenda tu. Unajua kitu kupenda yaani sijui nisemeje tu. well, nazipenda sana na sijisikii vibaya kuzisifia na kuwapongeza wote wanaozivaa (FYI: hata lile kabila la kule milimani wanavaa siku hizi na huwezi kutambua kama meno yao yameungua: sileti maswala ya unyanyapaa hapa)
 
binamu nakugawa bureeee
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…