Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] binamu kinachokuchesha me kuwaombea msamaha au wasamehe tu binamu yangu kosa ni kurudia kosa


Kilichonichekesha ni kuwa yaani unajifanya kabisa kama hukuwa na ushawishi makinika kwa kuahirishwa kwa safari yake kwangu.

anyway, sasa umeshanifunshisha kuhusu pm, nitakuwa namfuata huko huko nasingizia kuumwa aje anitembelee, yaani kitu kimya kimya bila vibration
 
Da,hadi hurumaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…