Makapuku Forum

Nashukuru kunisalimia aunt, asante kunijulia hali pia. Nimepona tangu fitina zako zilipompoteza njia BH akashindwa kufika kunijulia hali. Uendelee hivyo hivyo.

Uko salama lakini?
Binamu hivi me naanzaje kukufitini pamoja na yote haunipendi lakini me nakupenda tu binamu yangu namshkuru Mungu me mzima hofu kwako nataka kuja kukuona binamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…