Makapuku Forum

Da inaweza ikaw kweli hiyoo
 
Asantee za leo ngumu kumezaa kabisa ila ngoja tutoanee tongotongo ...

Hii kama bint anajilazimisha kujitwisha mzigo hasioweza make kamwili kadogo ila matiti kayatunisha nimerefer sisi tunavyotuna kukabiliana na hali fulan
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bhinamu natambua uwepo wako .heshima kwako hope waendelea vizuri

Nafikiri jana umejionea yupi mtu mwema kwako ...sio kwa fitina zile ila tulizishindaa


...anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).

Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa...

Ao achana nao waendeleze fitina zao ila tutashinda ...babu yangu kama leo umeshinda nae nashukuru make wewe utafikiri ndani kuna miiba ukikaa inakuchoma ...nadra sana

Ubarikiwe kwa hilo (in mama mchungaji voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…