na kwako pia mama ubarikiwe sanaWAFILIPI 4
1 Basi ndugu zangu, wapendwa wangu, ninawaonea shauku, furaha yangu, na taji yangu, hivyo simameni imara katika BWANA, wapenzi wangu.
4 Furahini katika BWANA siku zote tena nasema furahini
5 Upole wenu na ujulikane na watu wote BWANA yu karibu
6 Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na MUNGU
7 Na amani ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu
MUWE NA JIONI NJEMA MBARIKIWE
binamuuu mama mchuchu yupo njiani anakuja lakini mbona kama umeponaHa ha ha ahaha, hata hiyo kupachika picha tu ingekuwa rahisi kila mmoja wetu angeweza. Si lazima uisome picha na uone kamainaweza kuwa na maana hapa jukwaani.
Unafanya kazi sana anko na tunaipenda, sio rahisi na ingekuwa ni hivyo hata mimi ningeweza, sema nilichonacho ni saa na simu ya tachi tu, sio simu ya kamera
Asanteeee...!Niambie
Asante kwa kuongezea nyamaNakuunga mkono, kuandaa makala hata ya aya moja tu (a sounding/meaningful para) sio kazi rahisi.
Ninapoweka Muziki na Gitaa zile blah blah ninazoandika-ga kabla huwa naandaa masaa si chini ya matatu na hapo ninakuwa-ga na maandalizi ya wiki nzima niandike nini. Kumbuka huwa naandika J3-Ijumaa
Lengo ni kuifanya Makapuku iwe ni sehemu ambayo baada ya kusogoa kidogo basi kunakuwa na vitu vizuri vya afya ya ubongo.
Tukikutana kunywa supu ya utumbo basi sio mara zote mazunguzo yote yawe utumbo na hata yakiwa utumbo ndo maana utumbo tunakula na ndizi.
Makapuku hutembelewa na wengi wenye malengo tofauti na wanakuja huku tu kwa sababu kuna vitu wanavikosa sehemu nyingine, burudani, elimu, ustadi, mahusiano, siasa, sogozi na taja chochote utakipata hapa na bila kuwasahau wahamiaji haramu, makinikia na smelters
Naona Putin keshapiga mtu moja..Kweli mdau
Kutaniani,kubebishana muhimu ila mtu akishusha kitu cha mulisha ubongo afanye kweli
Sio km Shedele alivyotuzuga
......
SitakiUtanitag akijib
Bado nawaza! ...Zifuatazo ni picha/michoro yenye tafsiri/maana mbalimbali
Ukielewa funguka ....usipoelewa kausha
....
Ameisharudi aiseenataka kwenda nae shemela kumuona binamu
Basi tuMm nn?!
Ukielewa funguka...usipoelewa kaushaUlichowaza bitoz hapaa
Imekula kwakokwahiyo hautaki tukisindikize
WAFILIPI 4
1 Basi ndugu zangu, wapendwa wangu, ninawaonea shauku, furaha yangu, na taji yangu, hivyo simameni imara katika BWANA, wapenzi wangu.
4 Furahini katika BWANA siku zote tena nasema furahini
5 Upole wenu na ujulikane na watu wote BWANA yu karibu
6 Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na MUNGU
7 Na amani ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu
MUWE NA JIONI NJEMA MBARIKIWE
Ha ha ha ahaha, hata hiyo kupachika picha tu ingekuwa rahisi kila mmoja wetu angeweza. Si lazima uisome picha na uone kamainaweza kuwa na maana hapa jukwaani.
Unafanya kazi sana anko na tunaipenda, sio rahisi na ingekuwa ni hivyo hata mimi ningeweza, sema nilichonacho ni saa na simu ya tachi tu, sio simu ya kamera