Cha ajabu alikuja kuaminiwa alikua tranporter gari zake zikawa zinakodiwa mpaka na BOT.
Kosa kubwa alilofanya ni kuwavamia ma expatriate pale Mbeya na kuwafanyia mambo mabaya sana kwakweli Serikali haikuweza mvumilia tena mambo ya aibu sana sijui ilikua ni masharti ya madawa au mazoea tu