...acha zako, mimi sijapona sema nimekataa wewe usiambatane na BH kuja kuniona. Na nimewatangazia ndugu zangu kuwa umeniroga, sasa ni juu yako kuongozana naye au kukumbana na ndugu zangu wenye hasira kali za mfungo
Kwema mdau
Afadhali umekuja.....kuna pipo zinafikiri huu uzi ni kwa ajili ya kushindana na watu fulani au kupeana maLIKE
Wewe ni mfano mzuri japo umeanzisha uzi lakini huingii kila muda ili kupost post bali unapopata muda tu.... Hivyo waelewe uzi sio wa mashindano ya kupost wala kupeana maLIKE bali kudumisha urafiki na kupeana maarifa mawili matatu
......