Mtu akielekea kufanya mazungumzo ndio kitu kimekamilika au huu uandishi wa kishabiki.View attachment 525394Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Mndali, nawatakieni siku njema
Shukrani kwa maombi mkuu!Asante mkuu ngoja tuombe wamalize salama na Allah awaongoze
Tuko pamoja shemShukrani mkuu
Yupo Chattle[emoji1] [emoji87]
HatariWeeee
Ndo tukumbukanee sasaShukrani kwa maombi mkuu!
Lakini salamaHatari
I see
Ngoja nisubiri tukikutana na Waarabu
Mmeamkaje?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tumeamkaa poa kamandaHabari makapuku forum mmeamkaje ?
Kumbe ni mpaka weekend pekee?Kawaida lazima wikend ipigweee ....ila wale wakorofi wakuquote waache
HahahaKodooooo in husna voice
Hahaha, shem ni huyo unayebonga nae sasa baada ya maua imebidi ampatie faraja halisiNajuaaa huyu si bhinamu yangu nilitaka kujua location ipi make ana madokta kibaoo
Ndio mkuu au una maonii ganiiiKumbe ni mpaka weekend pekee?
Mbona yashaletwaaaShululu hebu y alete magazet kwenye hili jukwaa letu mkuu
Bado nazikusanya mkuu, leo ndio naona nipo freeMkuu deal done kwenye usajili hutupashii lakini
Nimeonaaa nimeonaaaa ila nkajifanya sijaonaaaaa ...ila time ni hakimu mzuriHahaha, shem ni huyo unayebonga nae sasa baada ya maua imebidi ampatie faraja halisi
Mialiko imeshaanza ya kufuturuNdo tukumbukanee sasa