Hapana mkuu,hawa majirani wanachonga sana kuona mpenzi wangu amesafiri.Mkuu kwani umemwagwa
Kulima mpunga mkuu.Kufanyaje
Hii labda Th Name anaweza kutusaidia.Wakuu nsaidieni kuweka hii sentesi kwa kingereza:
"Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa? "
Karibu mkuu,maana ya KAPUKU iko post #3.huku ni kwa makapuku sijui maana yake ni nini.
swissme
Unaniangusha Bro.Hahahah mimi siwezi
Ngoja nichukue vitabu vya EnglishUnaniangusha Bro.
Fanya mambo brother, watu wote tunakutegemea wewe.Ngoja nichukue vitabu vya English
Hiyo nyama ya nini kaka mkubwaDinner karibuni View attachment 342786View attachment 342787
mkuu kumbe na wewe ko unapatikana na huku SirMule mule kwakuwa vyote vina husika na kutema mimate mingi
Huyo nahrene yuko wapi?
Mpenzi wangu Nahrene yuko kijijini ameenda kuwasalimia wazazi.Huyo nahrene yuko wapi?
SisemiHiyo nyama ya nini kaka mkubwa