Makapuku Forum

Makapuku Forum

dd1ced3420a5fb1de10d27510ad44e4e.jpg
a2fb5782f0f30ee05c91c988bca60047.jpg
 
Karibu ndugu. Hata mimi ni mgeni lakini nimekaribishwa vizuri sana. Pengine huko mbele itakubidi ujikaze uandike sawasawa kidogo. Hii "axnten" mh. May be makapuku hawana noma. Ngoja kuche wenyeji waje.

Asante mkuu naamin ntapokelewa na kufata sheria za makapuku forum,ok hpo kwny uandish ntajirekebisha jpo hta ww unaweza kuwa mwnyeji wngu kwa kuanzia hahahahah!!asante!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom