Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,981
Mule mule kwakuwa vyote vina husika na kutema mimate mingi![]()
![]()
![]()
ugoro siuwezi ila nakulaga tambuu
![]()
![]()
![]()
Mule mule kwakuwa vyote vina husika na kutema mimate mingi![]()
![]()
![]()
ugoro siuwezi ila nakulaga tambuu
![]()
![]()
![]()
Umeona nin mkuu huku kwa makapuku?kuna nini huku kwa makapu?
swissme
Acha utani mkuu.Mkuu ktk pitapita zangu nilikutana na nahrene, nkamuuliza yuko wapi mbona atafutwa sana ukapukuni akasema ametingwa na kazi but akumis sana
Hata mimi ni mgeni hapa jf, ila usijali taratibu utawajua tu. Kwani hawajaanza kuja huko pm?Duh unajua mimi mgeni nina miezi 7 tu tangu niwe member hivyo hiyo ni project umenipa ili niwafollow nione.
Mkuu majira ya saa 5 alikuwepo jfAcha utani mkuu.
Umemuona wapi tena.
hahahaha sijui nimekosea njiaUmeona nin mkuu huku kwa makapuku?
Unakaribishwa bhana huku wakarimu sana bila shaka wamekutunuku likes za kutoshahahahaha sijui nimekosea njia
swissme
Pamoja sana braza.Habari muda wakuu, mpo salama?
Karibu sana mkuu.
*_____Hapa ni no stress____*
Dah,aisee brother ukimuona tena mwambie mimi huku niko hoi taabani.Mkuu sitanii majira ya saa 5 ilikuwepo jf
Atakuwepo wiki hii hapaTulia wewe.
Atakuja mwenyewe.
Poa mkuu.Asante mkuu nishakaribia tuliendeleze pamoja!!!
Hahaha mwendeee kwa PETER MSECHU (PM)Dah,aisee brother ukimuona tena mwambie mimi huku niko hoi taabani.
Tena mueleze niko tayari kusubiri hata miaka 100.
Hahahaa... Si useme mwenyewe kama umeachwa!Tulia wewe.
Atakuja mwenyewe.
Hata mimi ni mgeni hapa jf, ila usijali taratibu utawajua tu. Kwani hawajaanza kuja huko pm?