lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Muzuri mamaa!Habar ya jion wapendwa?
Muzuri mamaa!Habar ya jion wapendwa?
Ulinzi muhimu mke wanguAsante wifi... nilikumiss pia.
Bro wako ananifungia sana
Yes babe!Ulinzi muhimu mke wangu
Poa shem, za majukumHabar ya jion wapendwa?
Ulim miss wifi yangu?Hata mimi
Ni nzuri kabisa sijui kwa upande wakoHabar ya jion wapendwa?
Yes wifi yako +dadangu weyeUlim miss wifi yangu?
Oooh basi sawaaaaYes wifi yako +dadangu weye
Duh unajua mimi mgeni nina miezi 7 tu tangu niwe member hivyo hiyo ni project umenipa ili niwafollow nione.
Unaubana kwenye jino linalouma![]()
![]()
ugoro unautumiaje?
Namalizia likizo bado kidogoMshana jr naona umeanza kujiandaa kuingia ofisini
Wewe njoo kwangu achana na huyo bwana mdogo mwingine hajui kuhonga.Duh unajua mimi mgeni nina miezi 7 tu tangu niwe member hivyo hiyo ni project umenipa ili niwafollow nione.
Doooh! Maumivu hayata kuwa makali zaid?Unaubana kwenye jino linalouma
Hapana labda tu shida usije kunogewa na ugoroDoooh! Maumivu hayata kuwa makali zaid?
Nitaumia sana
Mkuu ninakuhitaji sana kwa kazi maalum natamani nikukabidhi kitengo flani hvNamalizia likizo bado kidogo