Makapuku Forum

Hata mimi ni mgeni hapa jf, ila usijali taratibu utawajua tu. Kwani hawajaanza kuja huko pm?
  • Ili waje wanasoma uchangiaji wako. Ukiwa na muelekeo wao watakuja tu ila mimi huwa napost vitu general or politics or vinavyohusu maisha in general mtu hawezi kuja kama hujapost upupu unless wanataka msaada. Nimejipatia watoto wa ihari JF na ninawapenda sana wapo kusini mwa TZ, wapo Dar na wengine sijuhi hata walipo sababu we just talk about life. Kuna binti yangu ni mjasiria mali wa asali toka Mpanda huyo ni kama mwanangu sababu tumeonana, ameniintroduce kwa mme wake na mjukuu halafu we are like a family. Thanks to JF.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…