Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sasa ukitaka kujua binamu mda mwingine waga muongo subiria kesho ...leo si tumelala wote na uchokozii wako 🙂 na yeye hajui kama nipo home .utamsikiaukweliiii
Sasa ukitaka kujua binamu mda mwingine waga muongo subiria kesho ...leo si tumelala wote na uchokozii wako 🙂 na yeye hajui kama nipo home .utamsikiaukweliiii
Mapema mbonaUcku mwema wapendwa
picha jamaan mkiwa kitandaniTulale sasa my swi
Hatareee mkuuUnapotezwa aisee
Ilaa weweeepicha jamaan mkiwa kitandani
Picha yako na lee pia ni muhimupicha jamaan mkiwa kitandani
Muagiizie balimiMapema mbona
ngoja aje nisikie habari za makinikia na msemo gani tena nimesahauSasa ukitaka kujua binamu mda mwingine waga muongo subiria kesho ...leo si tumelala wote na uchokozii wako 🙂 na yeye hajui kama nipo home .utamsikia
Nawe pia dadaUcku mwema wapendwa
mtu anaenda kulala na mumewe unamwambia mapemaMapema mbona
Hahaaa...Kwan uongo

Are you sereous umeniacha??Pole tena
Nakuona unashusha mapazia mkuuTulale sasa my swi

MmmhShedy
Ipo ndani nimeiweka juu ya kabati kesho nitaitoa utaiona mkuuIla furaha yako siioniii y
Weww jamaaaAre you sereous umeniacha??
UtanitagAre you sereous umeniacha??
Powa shemuUcku mwema wapendwa
Ntakufinyaaaamtu anaenda kulala na mumewe unamwambia mapema