Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nyie jamaa mmenifanya nicheke
KF ilianza maalumu kwa ajili ya story ila ghafla ikageuka movement na watu kujazana siku ya kwanza tu replies lilikuwa 10+ kisha akaanza kusepa mmojammoja maana wengine walikuwa kinafiki na zugazuga tu pengine kufuata like za washambawashamba wachache
Baada ya hapo yaani km mwezi mmoja hivi tukaigeuza thread ya kijanja kwa kuanzisha segment hapo ndo pekee palipoiokoa thread kufa au pengine kupoteza mvuto
Now KF ni km Chitchat ya wenye Phd kiasi cha kuwavutia karibu wanaJF wote kuifuatilia (subscribe) na kujifunza mambo mbalimbali japo wanaamua kupita kimyakimya na kutuanzishia mathread ya kutuponda....

Thread haimkatazi mtu yoyote kuwepo humu hata Ngedere ila baadhi ya wakongwe wanajishtukia shtukia tu
........
Fact!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom