maneno mujarabu kabisa. Niongeze nini tena, la. well, wmisho hakuna nukta ngona niiweke.
Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu.
Asante mkuu1/Chandra Bahadur Dangi
Alizaliwa mwaka 1939 na kufariki mwaka juzi akiwa na umri wa miaka 75
Alikuwa ni babu raia wa Nepal inaonekana hiyo nchi ni ya mbegu fupi pamoja na majirani zao Wahindi
Alikuwa akishikilia rekodi ya mtu mfupi zaidi duniani hadi maiti yalipomkuta mwaka 2015 na rekodi yake ya ufupi bado inaishi maana hajawahi kutokea mtu mfupi kumzidi katika historia ya dunia
Alikuwa na urefu wa Sm 54.6 sawa na inchi 21.5
Mwisho
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
..................
1/Chandra Bahadur Dangi

Asante Madenge kwa top101/Chandra Bahadur Dangi

My HusbandMy wifee
Binamu asante sanaMuziki: Heshima kwa Mtoto
Ni Furahiday leo! Usijibu kabla sijauliza maswali ya siku yako ilikuwaje leo. Naamini kabisa nikiuliza siku yako ilikuwa vipi basi hapa tutalkesha kwa majibu tofauti tofauti ya raha na karaha kwa pamoja, itoshe tu kujiaminisha kuwa wote tumekuwa na siku nzuri kabisa. asante kwa yule aliyetujaalia uwezo wa kufanya kazi na kujitafutia kipato kwa njia za halali. Hongera kwa wote mnaojitafutia vipato visivyo vya halali, jela nasikia kuna disco.
Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika. Inaweza kuwa si maarufu sana upande wako lakini bila kujali nakujulisha tu kwa hisani ya Mussolin5 kuwa siku hii ilitengwa maalum kabisa kama kumbukizi ya watoto waliouawa kule South Africa mwaka 1976 na OAU (AU ya enzi hizi) mwaka 1991 ikaitenga June 16 kuwa Siku ya Mtoto wa Africa, yes mtoto na sio wale mabeibe meno 32 na tayari hawaoti meno tena.
Nini tumfanyie huyu mtoto wetu. Tumhakikishie lishe bora akue mwili na ubongo sio kila siku wali maharage tu unasahau mchicha, mkarango, matunda. Tumpeleke shule ajipatie maarifa yanayohitajika na aweze kukabiri dunia hii, akikua kua tu umfundishe kuhusu uzazi ili aweze kuzalisha vizuri muda ukifika.
Tumpe nafasi afanye analopenda huku tukimguide tu na sio kumuonyesha apende nini. Tumfanye ajiamini sio unamfanya atumie mavyombo ya plastic siku zote, siku wakija wageni uakatoa zile sahani ulizofungia kabatini basi anabaki kung'aang'aa macho tu utasema wanasiasa wetu bungeni.
Nini tusiwafanyie watoto, moja tu kubwa. Tusiwabake, eeeh, mawazo machafu yamekujia, usibake haki zake, usimuangalizishe simu yako iliyojoo ponografia, usimsikilizishe muziki usioeditiwa na zaidi usimsikilizishe vipindi vya hovyo vya radia au kuangalia tv. usimruhusu alale anapotaka.
Unamjua Lokua Kanza wewe! kama humjui sio shida maana hata rais hamjui aliyetusainisha mikataba mibovu ya madini. Lokua ni mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki, anaujua. Anapiga gitaa na ana sauti nzuri na utaifurahia kuisikiza.
Leo tunakwenda kislow na hakuna anayeruhusiwa kumbambia mwenzake labda hug za kimisonari au za kiislamu. na kwa upendeleo wa aina yake (haijapata kutokea) nakuwekea songi lake moja kaliimba sehemu mbili. Utapenda maana nakupenda sana Kapuku mwenzangu.
Mlinde Mtoto, Lipa Kodi Asome, Apate Tiba na mfundishe kusema kweli daima (sio kama ile ahadi ya TaNUOCSM)
Binamu asante sana
hamna binamu najua we mzima sana mpaka kukuona hapa kapuku kuwa na amani binamu yangu ni kujisahau tuKaribu tena aunt yangu. Mimi sijambo hata kama hutaki kujua nina hali gani leo
mzee wa kutekwaThankyuu weekendi
Kuna uzi ukikoment unapata likes... yani lengo la uzi ni hilo (comment chochote upate likes) na ulikuwa unakimbia balaaGreat point. Unaweza kuwa na likes chekwa lakini usiwe na mchango wa kukumbukwa.
Kuna uzi mwingine wa umeanzishwa kama Makapuku? FYI sio kosa langu kuuliza maana mimi humu huwa wa mwisho kujua kila kitu
.... ndiyo ninakuja lakini sio kama sister P
Thanks bitoz1/Chandra Bahadur Dangi
Alizaliwa mwaka 1939 na kufariki mwaka juzi akiwa na umri wa miaka 75
Alikuwa ni babu raia wa Nepal inaonekana hiyo nchi ni ya mbegu fupi pamoja na majirani zao Wahindi
Alikuwa akishikilia rekodi ya mtu mfupi zaidi duniani hadi maiti yalipomkuta mwaka 2015 na rekodi yake ya ufupi bado inaishi maana hajawahi kutokea mtu mfupi kumzidi katika historia ya dunia
Alikuwa na urefu wa Sm 54.6 sawa na inchi 21.5
Mwisho
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
..................
Tatizo nin mama roho yanguMy Husband
Wenyewe ni comment chochote upate like (Kichwa cha habari)Na mm binamu naona replay humu sijui kuna walio iga au ..tujuzanee
AmenMungu amesaidiaa