Makapuku Forum

9/Khagendra Thapa Magar
Huyu ni raia wa Nepal kutoka wilayani Baglung
Alizaliwa October 4 1992
Huko kwao anajulikana kama Little Buddha....alizaliwa akiwa na uzito wa gramu 600 tu
Hakuwa maarufu hadi pale alipotimiza umri wa miaka 20 mnamo 2010 na hivyo akawa Mtu mfupi zaidi duniani kwa mwaka 2011 kwenye Guinness Book Of World Records ....mwaka huohuo rekodi yake ikapata mbabe
Urefu wake ni Am 67 sawa na inchi 26
.......
 
Neno
 
7/Madge Bester
Kazaliwa 1963 na bado anadunda tu
Ndo mshindi wa zamani wa Mwanamke mfupi zaidi duniani
Anazidiwa urefu hata na mtoto wa mwaka mmoja...huyu nae anaugua ugonjwa wa mifupa Osteogenesis imperfect a
Ana urefu wa Sm 65 yaani inchi 26
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…