Waliniacha hoi walipoweka wazi kuwa alikuwa na mahusiano na Maria Magdalena na walizaa watoto watatu na hakufia msalabani na hakukufuka, hawa jamaa wanachimba sana aisee
Unazungumzia DaVinci Code ama? Inabidi kuwa mwangalifu na haya mambo mpendwa kwa sababu program zingine ni propaganda za watu na zimelengwa kutimiza malengo maalum yaliyokusudiwa na sponsors. Always akili za kuambiwa changanya na zako.
Discovery na History channel kwa kawaida hawakupi conclusion. Wanaripoti tu "facts" kulingana na utafiti wao halafu wanakuacha mwenyewe ufikie conclusion unayotaka. Hawana propaganda za wazi kama hao jamaa uliowataja hapo juu.
Usimsumbue mfanyabiashara mwenzio. Kama vipi mtupie mzigo binamu. Hata awe nao wengi kama Mfalme Suleman ni sawa tu. Mi simo mkuu. Nisije nikapoteza uhuru wangu hapa Makapuku bure!
Usimsumbue Mfanyabiashara mwenzio. Kama vipi mtupie mzigo binamu. Hata awe nao wengi kama Mfalme Suleman ni sawa tu. Mi simo mkuu. Nisije nikapoteza uhuru wangu hapa Makapuku bure!