Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mmmmmmh tayarJumatano bado
Mmmmmmh tayarJumatano bado
ujue nina moyo Baba DZake zile na mm nilimkopa mtaji kidogo
Ni zaman kabla mkongo hajamaliziaa posaabiashara zipiiiii ambazo mkeo hajui
Ridhiki? Dunia inaendelea kujizungusha na hata kesho jua litachomoza tu. Binadamu na mbwembwe zake zisizo na kichwa wala miguu...Mkuu sijakuzibia rizik biashara zetu zikikua ntakuruhusu
Au huwez kuvumiliaa ?
miss u sanaaa kaka mndali kwema lakiniDada mic wewe
Nakupendaaa jwaaaamaaaan ...real baba D hapaamimi apa
namshkuru Mungu ziko salama kakaNjema dadake na mimi za huko uliko
Nimewawishi muwe na maisha marefu, uka quote kwa kusema asante mama mchuchushemela vipii jamaan

hapana kaka nashangaa majina tu yanazidi kuongezekaMbona unashangaa dada
Sasa biashara na moyo kuna mahusiano kweliii??ujue nina moyo Baba D
Ngoja kwanza niongee nae nimpe mipakaRidhiki? Dunia inaendelea kujizungusha na hata kesho jua litachomoza tu. Binadamu na mbwembwe zake zisizo na kichwa wala miguu...
Yuko poa, jana hakuwa na raha kabisa, kisa hajakuonasafi sana shemela mke mwee anaendeleaje jamaan niliwamiss
kwahiyo sa 5 mpaka leo asubuhiJana nilipumzika mapema usingizi ukakataa saa 5 ndo nikawa na majirani zangu hapa
Baba D na mama DNzuri mkuu
HayaAaaaaah hata hivi kwetu Malawi usihofu ila hapo keyboard imeniibia
wajibu tu ili uwe na amani ya moyoNiwe na amanii ??
Mmmmmh plz mama D hapendiiiZa ukuwadi♂️
♂️
♂️
Mi nimefika Jana ndo nikapewa hayo majinahapana kaka nashangaa majina tu yanazidi kuongezeka