EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
youngblood nilikwambia niah ni mwanamke ukabisha, mwambie sizzya007 aje aongee na huyu binti mrembo huenda inaweza ikawa bahati yake.
Pamoja Mkuu, mpe hi MANDELAA KIWELU.Hamna shida brother.
Pamoja.
Bibiyoungblood nilikwambia niah ni mwanamke ukabisha, mwambie sizzya007 aje aongee na huyu binti mrembo huenda inaweza ikawa bahati yake.
Poa poaPamoja Mkuu, mpe hi MANDELAA KIWELU.
Kuhangaika ndo swala la muhimu, lazima tutafute riziki braza.ndio hivyo tena mambo ya majukumu...
Mimi mwenyewe nataka nianze kufukuzia mkuu.youngblood nilikwambia niah ni mwanamke ukabisha, mwambie sizzya007 aje aongee na huyu binti mrembo huenda inaweza ikawa bahati yake.
kweli mkuuKuhangaika ndo swala la muhimu, lazima tutafute riziki braza.
MmmmmmmhhhMie mzima natuma maombi kwa mshana jr ili nende chuo cha urozi.
Maisha ni kutafuta braza.kweli mkuu
Hhahaha.Usinishirikishe kwenye kukupa kampani maana akirudi Nahrene hauchelewi kunisingizia kwa shem kwamba eti mimi nimekupea shinikizo.
Lazima atakuwa ananikubali mimi.
Hahahaa...Lazima atakuwa ananikubali mimi.
Unajua mimi ni asali ya warembo.
Nyie watu wawili mmenifurahisha sana hahahaha. Naona EMMYGUY unakimbia lawama.Usinishirikishe kwenye kukupa kampani maana akirudi Nahrene hauchelewi kunisingizia kwa shem kwamba eti mimi nimekupea shinikizo.
Hhahaha.
Le mutuziNdo nani tena?