Kama una pesa siku hizi hata kama unao watu hawajali tena. Pengine ni hivi vidonge vya kupunguza makali. Utakuta pedeshee la mtaa linasemwa kuwa linao lakini kwa vile lina pesa basi mabinti wanajikanyagisha tu bila woga. Pesa ni mfalme aisee...
Inaweza kuwa ndiyo au siyo kutegemea na umemaanisha nini. Niko kwenye fani kama mpenzi msikilizaji tu au mtazamaji na mahudhurio yangu kwa kweli si haba.
Sijui kupiga gitaa ukafurahia ila napenda kusikia likipigwa ndilo linanivutia.
Naimani nawe kama haupo kwenye fani basi kuna kitu kinakuunganisha na muziki wa mataifa au kaswida au gospel